HIVI NDIVYO SMS ZINAVYOKATISHA MAISHA YA WANAUME MAPEMA KULIKO WANAWAKE.

0
Bila shaka utaungana nami kuwa vifo vya wanaume ukiachilia mbali vivo vitokanavyo na magonjwa,ajali,au mauaji ya kimahusiano lakini Msongo wa mawazo ni moja ya sababu za vivo vya wanaume kufa mapema au kuugua kirahisi kutokana NA kusababisha miili yao kuwa dhaifu! 

Kwa kuliona hilo jaribu kufikilia katika ya Inbox hizi mbili nani atakiwa na Furaha zaidi inbox ya mwanamke au mwanaume! Je unajua furaha inapotawala katika maisha yako unaweza kuwa katika hali gani?.
Basi nimekuletea baadhi ya SMS ambazo ukichukua simu ya mwanamke unaweza kuzikuta kisha tafakari ungekuwa we we SMS zipi zinaweza kukupa amani ya moyo NA ungependa uzione kila Mara!
Karibu tusome SMS ambazo unaweza kuzikuta kwa kina Dada!.

INBOX YA MDADA:πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 1. I luv u dear (Gerald).
 2.Nikutoe out leo? (John)
 3..Huwa inaniuma sana nikikuona na wanaume wengine (Mwambi)
 4.. Sweetie usisahau. trip ya Bagamoyo, unambie nikupitie wapi (MD)
 5..Darling, have you seen d credit I sent u?
 (Mboss 1)
 6..Honey najitahidi kukamilisha taratibu za kuleta posa nakupenda sana (Evans)
 7. Helo jione kama umeshapata(Mheshimiwa 2)
 8..Baby, check akaunti yako nimekuwekea kitu (Chairman)

 INBOX YA MKAKA:
 1..Salio lako halitoshi kukamilisha ombi lako (TIGO)
 2..Ukinitumia txt nyingine namwambia rafiki yako (Jane)
 3.Mwanaume gani unashindwa kutoa msaada (Patricia)
 4..Unajifanya hupokei simu lakini wiki hii ni ya mwisho lipa kodi au utoke kwenye nyumba yangu(Baba mwenye nyumba)
 5..Kaka nakutegemea ada (Jaki)
 6..Mwanangu njaa inatuuwa usitusahau, Mungu akubariki(Mama)
 7..Sijaziona siku zangu , napenda ujue hilo (Jirani House girl).πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ€ΈπŸ»‍
Hebu vuta taswira NA kuamua Leo kwanini wanaume wanajikuta katika shida ya msongo was mawazo na unajua madhara ya msongo wa Mawazo?.

Ukivutiwa share NA wengine wasome au watumie link wasome hapa wenyewe. Somo lijalo nitafafanua zaidi faida ya SMS kwenye simu yako!.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top