JE! SAHIHI MWANAMKE KUMTONGOZA MWANAUME?

0

Hata mwanamke ana haki ya kuelezea hisia pia kama ilivyo kwa mwanaume. 

Tatizo huja pale ambapo mwanaume atatafsiri vibaya nia ya mwanamke. 

Bila kuficha ukweli ni kwamba wanaume wengi hudhani kwamba mwanamke akianza kuelezea hisia ni kwamba hajatulia au kuna kitu kafuata. 

Niseme tuu hapana na kama mwanamke amepata ujasiri wa kuelezea hisia basi jua anamaanisha. 

Msikilize na kama nafasi ipo basi mkaribishe na usicheze na hisia zake bali mheshimu na mtimize malengo yenu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top