JE! WAJUA WANAWAKE WANAO OLEWA ZAIDI NA WANAUME? HEBU FAHAMU LEO

0

Wanaume huwafuata Wanawake kwa mambo mawili, ambayo ni MAPENZI na SEX. Lakini inapofika hatua ya Kuoa, Wanaume hawaoi kwa sababu ya SEX au MAPENZI, wanaoa kwa sababu ya kutafuta AMANI NA UTULIVU WA NAFSI (STABILITY).
.
Mwanaume anaweza kukupenda na asikuoe
Mwanaume anaweza kuwa anafanya mapenzi na wewe tena mkadumu kwa muda mrefu lakini asikuoe.  Lakini akampata mtu mwingine akamuoa hata kama mahusiano yake na mtu huyo yalikuwa ya miezi miwili.
.
Wanaume wengi hutizama mbali zaidi pale wanapotaka KUOA. Huwa hawafikirii habari za suti kali za harusi na sherehe ya gharama, vitu ambavyo hufikiriwa zaidi na wanawake kila wanapoiwaza ndoa.
.
Wanaume huwaza, iwapo mwanamke huyu anaweza kuijenga familia bora, anaweza kuwahudumia watoto? Hatanipa stress huko mbeleni, hatanisumbua katika masuala ya tendo la ndoa?
.
Wanaume wanaotaka kuoa huwa hawapendi wanawake wanaowapa mawazo, ndio maana wengine hukaa muda mrefu kwenye mahusiano lakini unajifikiria bila sababu ya msingi anakuja kuoa mtu amekaa nae kwa miezi miwili.
.
Ni ile utafutaji wa AMANI YA NAFSI.
.
Sex is a pleasure, love is an affection, RESPECT is Stability.Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top