Kama ni mwanaume na unahisi nguvu za kiume zinapungua, kanuni hizi zikusaidie popote ulipo kurudisha uwezo wako kama zamani

0

1: Kunywa maziwa huku unatafuna karanga mbichi/kavu kunasaidia kuongeza shahawa nyingi kwenye tezi yako.

* Kunywa supu ya samaki asubuhi na maziwa fresh au mgando husaidia jogoo (muhogo) kuongezeka umbo lake yaani unene na urefu

* Kula bamia mbichi iliyochovya kwenye Asali mbichi huongeza upumuaji mzuri wa bila kuchoka. Kama unakosa pumzi wakati wa kungonoka na mwenzi wako

* Kumeza kitunguu swaumu na glass ya maji moto kusaidia kuongeza pumzi na mashindo wakati wa kungonoka.

* Kunywa supu ya ng'ombe iliyochanganywa na mbegu za maboga zinaongeza zinc ambayo huimarisha nguvu za kiume.

* Ukinywa kahawa iliyochanganywa na limao + Asali vijiko 4 hadi 6huchangia kufanya tendo la ndoa kwa muda mrefu bila kuchoka

* Ukijipaka mafuta ya mzeituni kwenye viganja vya mkono kisha kupasha viganja vyako kwenye moto na kuanza kuuchua ume wako husaidia kuuvuta na kuunyoosha kama umepinda na kusinyaa kama ulipiga sana punyeto na imekuathiri.

Nimeona nikupashe dondoo hizo, chukua hatua ndani ya mwezi tuletee mrejesho wako.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top