KUTOMPATA MTU SAHIHI NDIO SABABU YA KUWAKUMBUKA MA-EX WETU.

0

Nakuambia ukweli moja kati ya kitu kinasababisha tuwakumbuke ma Ex wetu ni kuwa na mpenzi mpya ambaye anamapungufu  sio mchezo bora ya yule wa zamani

Je ushawai kukutana na mpenzi mpya ni kichomi hatari mpaka unaanza mkumbuka Ex wako ingawa Ex alikukosea unasema bora ya yule Ex

Ukitaka ufike mbali kwa mahusiano lazima upate mpenzi mpya ambaye atafunika magepu yale ya mpenzi wako wa zamani kama atakuja mpya ni shida kuliko yule wa zamani aise ndio unasikia mtu kaoa au kaolea ila bado anamahusiano na wazamani...

Ndio maana Mahusiano ya zamani ayaishi.....sababu ya wapenzi wapya ..

Mpate mwenye mapungufu ya kuvumilika fanya nae maisha ila kama mpya mapungufu yake yamezidi wa zamani hata kama wa zamani alikukosea sana rahisi kurudiana nae wengine ndani ya ndoa shida sana

Like our page Idawa Blog kwa Mafundisho zaidi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top