UNAMUAMSHAGA MUMEO KWA MAHABA AU NDO UNAMTIKISA KAMA KIBUYU?

0

Wanawake ngoja niwaambie jambo ili mujifunze Alafu kesho asubh museme tena kwamba sjawaambia shauri zenu me nitakuwa naendelea tuu kupokea kesi zenu maana ndoo nimeumbwa hvyo saa ntafanyaje na kazi nimeichagua mwenyewe 😁.

Wanawake Muna kawaida ya kuamshana kama Vibuyu vya pombe 😝😝 hii Tabia sio mzuri. sasa mimi ngoja niwadokeze kidogo namna ya kumuamsha mume wako upoo!!! 
 
Namna ya kumuamsha mume wako 

1. Mfunue shuka taratibu kisha mpige busu na umuambie kwa mahaba,honey wangu amka unachelewa kazini.

2. Mfunue miguu na upitishe mikono yako kwenye nyayo zake taratibu huku ukimuomba aamke.

3. Mshike sehemu unazojua zinamsisimua,kwa mahaba na huku ukisema,sweet darling wangu amka upate utamu wako ukuchangamshe ukiwa kazini,hapo lazima aamke na njia hii ni tamu sana endapo umemuasha mapema na muda wa kujiandaa upo wa kutosha.

Wanawake tunaelewana lakini maana naona kama atuelewani vilee!!

Raha ya penzi kuchacharika na sio kulalamika kama unaimba Singeli wakati taarabu tuu imekushinda wee unataka singeli utawezaa!! ... 🤣🤣🤣

Yaani uwa munanifrahisha sana na ile tabia yenu mimi sjaamka wee unaenda fungulia Tv na sauti juu!! 😝😝 kama sio kunitafuta cha rohoni ni nini!?? Hebu niamshe kwa mahaba Heboo!! 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

Share post hii, Alika marafiki zako 100 twende kazi sasa tufikie malengo ya wengi kupata elimu. Share Whatsap group NA Mungu atakubaliki.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

JIUNGE NA IDAWA MEDIA SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Telegram na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka IDAWA TV Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube & Jiunge WhatsApp 

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top