WAATHIRIKA WA HIV/AIDS WASHAURIWA KUTUMIA DAWA HII KWA SASA

0

Mwanaharakati wa wagonjwa wanaougua virusi vya ukimwi Doreen Moraa Moracha kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram amewashauri wagonjwa hao waweze kunywa dawa zao.

Awali akiwa kwenye mahojiano Moraa alifichua kwamba madaktari walidai kwamba ataaga dunia kabla ya kuhitimu miaka 12.

Lakini hawakukosea waliposema alipangalo Mungu hakuna wa kulipangua.

Pia aliwashauri wagonjwa hao wanapaswa kunwa dawa za ARV's licha ya kukataliwa katika jamii zao.

"Fikiria kukataa kuchumywa ARV zako kwa sababu ya kukataliwa basi kutambua nimekuwa kwenye ARV kwa miaka 16 iliyopita 👯♀️ "Kunywa" ARV yako na kustawi kwa kuwa wanadamu wangu wasio na HIV wanakaa  hivyo kama kwamba ikiwa mtu anauliza "mpenzi huniamini"

Waambie kwamba kitu ambacho unaamini ni kondomu za trust," Aliandika Doreen.

Doreen amekuwa katika mstariwa mbele akiwatetea wagonjwa wa ukimwi na kutaka wapate haki zao.

 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top