Mwandishi #Rose_Shaboka👇👇👇
Wasichana, Unapoenda kwa Mchungaji wako kufanyiwa counseling au Maombi kumbuka huendi kwa kaboyfriend kako wala kamchumba kako. VAA VIZURI NA KWA ADABU. Wengine mkifika humo kwenye ofisi za wachungaji mnajiliza vya uongo huku mkijisogeza mkumbatiwe na kubembelezwa... Na unapowapigia wachungaji wako simu kaza sauti, acha kujilegeza na kubana pua kama una Mafua ya kuku....Na usisubiri usiku wa manane amelala na mke wake ndio umdistruct unapiga simu, piga mchana na ukipiga Go straight to the point, acha kuuliza umekula, umeoga, umevaa shati, umelala, umevaa kaptula, umeenda chooni, hayakuhusu na wewe sio mke wake wala mama yake.....Na wengine mkipiga simu akapokea Mke wa Mchungaji wako mnakata, mnamtaka Mchungaji, na mkielekezwa mkamuone Mama Mchungaji kwa maombi na ushauri hamtaki na Kanisani mnaacha kuja lakini Mchungaji tu ndiye mnayemtaka na kumuwinda. Something is wrong with you, You are a HOME BREAKER. OKOKA!
MEN OF GOD ARE SUBJECT TO TEMPTATION TOO, DON'T TEMPT THEM!