CHUKUA DAKIKA MOJA KUSOMA MPAKA MWISHO, USHUHUDA WENYE KUSISIMUA

0


Nilipokuwa nasoma shule, mwalimu wangu, alianza kunihitaji kimapenzi baada ya siku moja kunifata na kuanza kunitomgoza, huku akiniahidi mambo kedekede, haswa alinigusa baada ya kusema kwamba atagharamika kulipia ada ya kila mwezi  na kuisaidia familia yangu iliyokuwa masikini, sikuwa na namna nilikubali kuwa naye, na haikuchukua muda alianza kushiriki penzi na mimi , na tulifanya kama mara 5 na aliniamuru nisimwambie mtu yoyote, na nikifanya hivyo mahusiano yetu yatadumu, na akaniambia nijichunge nisipate mimba, mahusiano yetu yaliendelea na baadaye mwalimu yule alihamishwa kikazi na mimi nilifanikiwa kumaliza masomo yangu,.

Nilikuja kupata mwanaume wa kunioa, na miaka mitano ya ndoa yetu sikuwahi kufanikiwa kubeba ujauzito, na kelele na maneno ya kejeli yalianza kunitesa, mpaka baadaye NDOA yangu iliishia hapo, na sikukataga tamaa nilikuja kukutana na wanaume wengine wawili ila hali yangu haikuwahi kubadilika,nao walinitesa na kunibeza huku wakihitaji MTOTO, ndipo nilipoamua kurudi nyumbani kwetu, baada ya kupitia kila aina ya madharau, na matusi, nilikuwa nikijifikiria jinsi ya kujiua, ila kabla ya kufanya hivyo niliamua kwenda kwa waganga kila kona ya dunia hii, lakini sikupata msaada wowote, ndipo nilipo amua kwenda kanisa moja la karibu lililopo mazingira na kwetu, na nililia usiku na mchana mbele ya  mwenyezi MUNGU, watu wengi walinichukia kutokana na kulia kwangu kwa uchungu mbele ya mwenyezi Mungu wangu,.

BAADA YA MIEZI MIWILI YA MAOMBI na kufunga, nilikutana na mwanaume mwingine ambaye niliogopa kupendana naye, kutokana na mengi niliyopitia, na sikuwahi kufikiria kama Mungu angekuja kunijibu maombi yangu, Jamaa alitokea kunipenda na kuamua kunioa kwa harusi,.

MIEZI MIWILI BAADA YA HARUSI YETU, nilienda hospitalini kwa vipimo, na nilikaa muda kidogo na daktari aliniletea majibu yaliyonishangaza baada ya kuniambia kuwa nina ujauzito, .sikuwahi kufikiria kwamba ntakuja na mimi kuwa na mtoto, ila MUNGU asiyeshindwa, alijibu maombi yangu,  na wewe pia unaesoma mpaka sasa hadithi hii, MUNGU anaenda kutengeneza miujiza katika maisha yako leo, MUNGU atakupa,

*KAZI BORA 🛣
*MSHIRIKA BORA👏
*FURAHA YA MAISHA😍
Na wasi wasi utatoweka, andika AMEN na share hata KWENYE vikundi 2 vya facebook,WhatsApp au Twitter kwa kutumia viungo vya mitandao ya kijamii hapo chini tafadhali share kwenye vikundi TUSOME sote na wale waliokata tamaa wakajue kuwa kumtegemea Mungu, kuna faida yake, katu hatokuacha,.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top