DAR-ACHOMA NYUMBA BAADA YA KUACHANA NA MPENZI WAKE.

0

 


Msichana aliyejulikana kwa jina la Tina mkazi wa eneo la Mbezi Beach, Jijini Dar  es Salaam amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kuchoma nyumba ya anayedaiwa kuwa alikuwa mpenzi wake aitwaye kwa jina moja la Kelvin mkazi wa Mbezi Beach Bondeni.


Kwa mujibu wa Shuhuda aliyekuwepo eneo la tukio aitwaye Fredy Jembe amesema kuwa Kelvin aliachana na msichana huyo na kuwa na msichana mwingine.


"Huyu Dada aliingia kwenye nyumba ya mpenzi wake kwa kuruka ukuta akiwa na kidumu cha petrol alivyochoma moto nyumba akashindwa kutoka ndipo alipoamua kupiga kelele ya kuomba msaada na kufanikiwa kuzima moto huo. 

Read more>>>>>>>

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top