KAGERA-BIBI MIAKA 99 AKATWA KICHWA,MIKONO NA MIGUU ,WATUHUMIWA WAONDOKA NA VIUNGO

0

 


Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linawashikilia watuhumiwa watatu wakazi wa Wilaya ya Kyerwa kwa tuhuma ya kumuua bibi wa miaka 99 Frazia Rukera wakimtuhumu kuwa ni mchawi Kwa mujibu wa Kaimu kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera Tuntufye Mwakagamba amesema kuwa watuhumiwa hao watatu ni watoto wa kuzaliwa na marehemu Frazia na kuongeza kuwa alikatwa Kichwa,mikono na mguu na kuondoka na viungo hivyoTags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top