MADHARA YA UZITO MKUBWA AU KITAMBI KWA WANAWAKE NA WANAUME! SULUHISHO NI HILI

0

 


Katika hali isiyo ya kawaida watu wengi wamekuwa wakihangaika na maradhi mbali mbali yasiyoisha kwa muda mrefu huku chanzo kikiwa ni uzito mkubwa. Tatizo la uzito limekuwa kero na tishio kwa watu wengi hasa waishio mijini. 


Takwimu zinaonyesha kuwa ongezeko hilo limekuwa kubwa katika karne hii ya 21 kutokana na aina ya maisha tunayoishi yaani Vyakula, mifumo ya kazi,usafiri na kutokuufanya mazoezi.


MADHARA YA UZITO MKUBWA.

~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~

Kitaalamu binadamu hutakiwa kuwa na uzito sahihi kulingana na umri, urefu na uzito wake hivyo basi kama uzito utapishana kwa asilimia kadhaa kuna baadhi ya athari zinaweza kujitokeza kama;


•Kuongezeka kwa shinikizo la damu hii ni kutokana na mishipa ya damu kubanwa na mafuta

•Kuongezeka kwa sukari au glucose kwenye damu hii ni kutokana na sukari kuanza kuganda katika mirija ya damu

•Miguu kuvimba na kuuma sababu ya presha ya mwili kuwa kubwa

•Maradhi ya moyo (coronary diseases)

•Kuvurugika kwa homoni 

•Maradhi ya presha ya kupanda

•Kuathirika kwa mfumo wa uzazi hasa kwa wanaume

•kuchelewa kushika ujauzito sababu ya kuwa na mafuta katika fuko la uzazi

•Kuathirika kwa mfumo wa nerves hasa za uti wa mgongo

Umeisoma hii>> Suluhisho la wenye changamoto ya uzazi soma hapa

NINI CHA KUFANYA.

--------------------------------

Fanya yafuatayo ili kuepuka au kudhibiti uzito.

1. Kula kwa usahihi kwa kuzingatia kiwango, aina, muda wa kula 

2. Fanya mazoezi ya viungo walau mara 3 hadi 4 kwa wiki hasa kukimbia, kuendesha baiskeli, kuogelea, push ups, sit ups n.k

3. Kunywa maji kulingana na BFR yako (Body Fluid Requirement)

4. Pata muda wa kutosha kupumzika hasa usiku


::::::::::::text us 0673367044

Kwa Huduma ya dawa na ushauri.


Mwisho kama umekuwa na changamoto ya uzito na hujui cha kufanya au umejaribu njia nyingi bila mafanikio usijali lipo suluhisho


Wasiliana nasi kupitia Whatsapp au kupiga simu utapata program itakayokuwezesha kusafisha na kuanza safari ya kupunguza uzito kiafya zaidi. 


Usiteseke tena,Tupigie au tuchati WhatsApp number 0769367044 /0673367044 tutakufikia!

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top