MBUNGE MAKETE NA ZIARA YA JASHO LA KURA ZA WANANCHI.

0

 


JASHO LA KURA ZA WANANCHI.

Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Mbunge wa jimbo la Makete kufanya ziara ya mguu kuifikia kata ya Kigulu ambayo ni moja ya kata iliyopo ndani ya wilaya ya Makete tofauti na desturi za viongozi kufika na usafiri wa Magari kusikiliza kero za wananchi.

Mbunge Festo Sanga amefanya ziara katika kijiji cha Kigulu kata ya Kigulu wilaya ya Makete ambacho ili kukifikia lazima ufike mkoa wa mbeya kupitia jimbo la Rungwe na Busokelp ndipo unaweza kukifikia kijiji cha Kigulu.

Soma hii NJOMBE WAPENZI WAKUTWA WAMEFARIKI CHUMBANI

Kwa kuona umbali wa mzunguko huo ama tuite kuteseka na wananchi Mbunge wa Jimbo la Makete Mh.Festo sanga ameamua kutembea kwa Mguu hadi kijijini hapo kwa njia ya mkato kupitia kata ya Kipagalo kwa kushuka nyika za milima Livingstone ili kuwafikia wananchi wake.

Tazama picha hii ikionesha mbunge akipumzika baada ya mlima mkali ukitokea kijiji cha Kigulu.


Mbunge bila viatu kuwatumikia wananchi waliompa dhamana ya kuwa mbunge.


unaweza kutazama zaidi hapa bofya

 >>Mbunge Makete ziara ya jasho la Kura.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)
Youtube Channel Image
Henrick Idawa Subscribe To watch How to Earn Money

 

 
#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top