Mgonjwa Atoweka Katika Hali Tatanishi Hospitalini

0

 Familia moja mtaani Mathare katika kaunti ya Nairobi inamsaka jamaa wao ambaye alitoweka katika hali tatanishi baada ya kuenda hospitalini kutafuta matibabu 


Boniface Mutua anaripotiwa kuwafahamisha majirani wake kuwa ni mgonjwa ambao walimshauri atafute matibabu. 

Mnamo Julai 5, kama ilivyoripoti NTV, mwanamume huyo mwenye umri wa miaka 30, alikwenda katika Hospitali ya Blue House ambayo iko chini ya Medicine Sans Frontieres, na kugunduliwa kuwa na upungufu wa maji mwilini. Rekodi za hospitali zinaonyesha kuwa daktari alimshughulikia Mutua mwendo wa saa saba mchana na ambaye alimuagiza kuenda Hospitali ya Mama Lucy afanyiwe X-ray. 

Read more: ATOWEKA HOSPITALINI

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top