MTOTO AUNGUZWA NA MAMA YAKE KWA WIZI WA UGALI NA NYAMA

0

 


Mtoto was umri (8) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la pili Shule ya Msingi Naliendele ameunguzwa mkono na mama yake mzazi Muwaza Abeid( 29) kwa madai ya kuiba ugali na nyama.

Ofisa ufuatiliaji na tathmini wa kituo cha msaada wa sheria Mtwara Manispaa, Judith Chitanda amelieleza Mwananchi Digital leo Julai 19, 2021 kuwa mtoto huyo aliunguzwa Julai 3, mwaka huu kisha mama yake akamficha ndani huku akimpa matibabu ya kienyeji.

"Nilipata taarifa za mtoto huyu kuunguzwa Julai 18, mwaka huu kidonda kikiwa na siku 16 na hakiko katika hali nzuri," amesema Judith.

Kuendelea kusoma >>mwananchidigital

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top