Kupitia ukurasa wake wa Instagram hii Leo July 26/2021,mchezaji wa Yanga ambaye katika mchezo wa fainali kati ya Simba na Yanga Jana kigoma alipata kadi nyekundu baada ya kumchezea vibaya mchezaji wa simba John Bocco kwa kumpiga na kiwiko usoni.
Huu ndio ujumbe wa Tonombe kwa wanayanga sc.