●Unapotengeneza BIO kwenye mitandao ya kijamii kama Twitter, Instagram n.k... ni busara kuepuka kuweka lundo la madegree yako kwenye *bio* . Badala yake tumia LinkedIn kunadi hayo madegree yako maana ndio kazi yake kukuuza kwa waajiri. Epuka kuintimidate watu utaonekana hujiamini.
●Sababu mfano Twitter haikuwa designed kunadi madegree bali kilichopo kwenye fikra zako. The same as instagram. I think a simple biography wont do any harm ila kutaja madegree yote kwenye bio ni sign of intimidation people wont like to interact with a person who is intimidating them.
●Otherwise its better to add a link of your LinkedIn account rather than mentioning all your degrees kwenye biography
●Au badala ya bachelor of pharmaceutical bla bla bla just put pharmacist... I think it explains more about your profession than kutaja madegree yote ya Pharmacy uliyosoma
Ahsante kwa Leo tuishie hapa karibu tens katika Uzi ujao!.
Imeandaliwa NA Cylas wa kwanza.