NYOKA ASHIRIKI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU!

0

 

Wakazi wa kijiji cha Kampi Samaki katika Kaunti ya Baringo nchini Kenya wamepata mshangao baada ya kushuhudia nyoka mkubwa akitoa heshima za mwisho kwa mmiliki wake aliyejulikana kwa jina la William Ewoi aliyefariki dunia siku ya Alhamis Julai 8,2021.

SOMA PIA HII amnyonga mwanae kwa kukosa msaada fedha za corona


Inaelezwa kuwa siku mbili baada ya mazishi ya mwanaume huyo anayedaiwa kuwa Mganga wa Jadi, nyoka huyo alijitokeza katika nyumba ya marehemu kisha kuzunguka kaburi la marehemu ikiwa ni ishara ya kutoa heshima zake za mwisho.
Read more <<HAPA>>
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

JIUNGE NA IDAWA MEDIA SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Telegram na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka IDAWA TV Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube & Jiunge WhatsApp 

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top