WALAKA WA HAJI MANARA KWA WANASIMBA BAADA YA KUONDOKA KWENYE CLUB HIYO.

0

 


Leo katika anga za michezo unaweza kusema mashabiki was simba wako na maswali juu ya kuondoka kwa aliyekuwa msemaji wao Haji Manara baada ya Leo kuthibitishwa Rasmi kuondoka.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Haji Manara amepost picha akiwa na furushi la mabegi ikionekana kuwa anaondoka Simba Rasmi huku akiwa ameambatanisha ujumbe .

Ujumbe huu unaweza kusema ni salama za kwa heriiii wanamsimbazi! Ahsante kwa kuniamini.

 Alicho kiandika Manara. Instagram hiki hapa.

Kila tunapomaliza Mechi yoyote ile ya Simba,neno langu la kwanza baada ya matokeo yoyote yale ni Alhamdulillah 🙏🏻


Kwa wanaofuatilia page hii wanatambua hilo. 


Kwangu neno hili ndio Msamiati nnauotumia mara nyingi zaidi na hufanya hv kwa kila jambo ,liwe jema au baya 


Yes neno langu ni moja tu


AL-HAMDULILLAH 🙏🏻Taarifa rasmi ya kuondoka kwa Haji Manara kuitumikia Simba Sc na mrithi wake kutangazwa Leo Leo.

 

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top