* Kijana mmoja aliyekuwa akifanya kazi katika jeshi alikuwa akidhalilika kila wakati kwa sababu tu aliamuamini Mungu.
Siku moja nahodha/kapteni wa jeshi alitaka kumdhalilisha mbele ya wanajeshi wenzake na Alimwita kijana huyo na kumwambia : -
Kijana njoo hapa, chukua ufunguo hizi na uende kusogeza ile Jeep yangu mbele.
kijana huyo alijibu: - mkuu siwezi kusogeza kwani sijui kuendesha gari!
kapteni wake akasema: - huku akicheka basi mwombe Mungu wako! na tuonyeshe kuwa yupo na anaishi,!
Kijana alichukua ufunguo wa jeep na kuwashaa gari la kapteni na kuliendesha mpaka sehemu ya kuegesha magari, na aliliegesha jeep la kapteni kama vile mzoefu na alipakia kama dereva kabisa,.
Kijana yule alitoka ndani ya jeep na kuwaona wanajeshi wenzake wote wakilia.
Wote walisema kwa pamoja: -
Tunataka kumtumikia Mungu wako!
Askari mgeni alishangaa, na akauliza ni nini kinachoendelea?,
Kapteni huku akilia alifungua kofia, bonet la jeep na kumwonyesha yule kijana askari kuwa gari halina injini.
Kisha yule kijana askari akasema:
Unaona? Huyu ndiye Mungu ninayemtumikia, MUNGU WA HAIWEZEKANI, Mungu anayetoa uhai kwa kile ambacho hakipo.
Unaweza kudhani kuna mambo bado hayawezi kutokea LAKINI KWA MUNGU KILA JAMBO LINAWEZEKANA.
Kwa mtu anayesoma hii, ninamwomba kwa Bwana afanye MUUJIZA WENYE KUWASHANGAZA watesi wako maishani mwako leo Katika Jina la Yesu Ninaomba ..
Andika "AMEN" kudai dai lako mwenyewe Shiriki hata kwenye Vikundi VINGINE vitano, 5