Mtoto wa kike wa Manju aliyekuwa mjamzito alidaiwa kuuawa kutokana na suala la mahari kutoka kwa familia ya muwe wake.
Inadaiwa kwamba baada ya mauaji hayo , mwili wake ulikatwa vipande vipande na baadaye kuuchomwa moto.
Familia ya Kajal inadai kwamba mwili wake ulipatikana katika uwanja ulio karibu na nyumbani kwao na ulikuwa katika hali mbaya ,na vipande hivyo vilikusanywa na kutiwa katika mifuko.
Na sasa kuna kesi mahakamani iliowasilishwa tarehe 20 Julai lakini polisi hawajamkamata hata mshukiwa mmoja