➡UZI NAMNA YA KUFANYA BIASHARA MTANDAONI! ZIFAHAMU FAIDA ZAKE

0

 


●Kufanya biashara mtandaoni sio kupost tu instagram na kusubiri.


Share products zako:

▪️Whatsapp Groups 

▪️Facebook Groups 

▪️Kupatana, Advertising Dar, etc

▪️Zoom Tanzania 

 ✒Promote biashara yako social media.

▪️Iba wateja kutoka page za washindani wako

▪️Tengeneza duka kwenye marketplace kama inalipa, superstore


●Mbinu (10) za kukabiliana na ugumu wa maisha:


1. Epuka kufanya manunuzi kwa njia ya mtandao


2. Punguza matumizi ya umeme au maji


3. Punguza matumizi ya simu kwa kutokupiga simu zisizo na ulazima


4. Punguza starehe zinazogharimu


5. Nunua vyakula kwa bei ya jumla sokoni

●  

6. Lipa bili na madeni uliyokopa kwa wakati


7. Wekeza pesa unazokusanya katika mradi wowote ili kujiongezea kipato


8. Acha kabisa matumizi ya vitu au vilevi vya gharama


9. Unapoona fursa yoyote itakayokupunguzia gharama itumie


10. Acha matumizi au manunuzi yasiyo ya lazima 


                        ●

MUHIMU: Funzo hapa ni kumakinika katika kubana matumizi na si kuwa bahili. Huo ni ushauri tu, unaweza kuuchukua au kuuacha.


>>KUMBUKA: “Ukijinyima kupita kiasi, huwezi kufurahia maisha.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top