Web Developer umeshadevelop Website yako na Uko unataka kufanya Hosting
Hizi ndo best 5 Hosting Platform ambazo unaweza Fanya Hosting for Free
●1. Infinity Free
Hii ndo nimeweka kama Number 1. Kwenye hii Company unapata Unlimited Bandwith Plus Free Domain yaani .epizy.com
Jisajili Now; https://t.co/2mhE3AcFdM
2. ProFreeHost
Hii ni other Platform ambayo pia inatoa domain name na hosting
● 3. 000webhost
Hii ni hosting under Hostinger.
Inatoa free domain na Hosting ya Website.
4. GeoCities
Hii ni Hosting company ambapo nilifanya my first Hosting ever ya site yangu back then in 2018.
●5. Netlify
Hii ni Hosting ambayo unapata free SSL certificate Free Hosting na Domain ambayo ni subdomain ya Netlify
I highly recommend hii site kwan unafanya deployment ya webApps na Websites easily