Licha ya serikali kueleza kuwa uchimbaji wa chuma katika migodi ya liganga kuwa karibu kuanza wananchi wa vijiji vya ani na mundidi wamesema kuwa wanasubiri kwa hamu kwani wamechoshwa na ahadi za muda mrefu pamoja na kuomba serikali kuwalipa fidia zaidi ya bilioni 11 Hata hivyo mbunge wa jimbo hilo joseph kamonga amesema kuwa atamualika waziri wa viwanda kufika na kuzungumza na wananchi wa vijiji vinavyozunguka mgodi wa chuma
Tazama kilio chao kwa Mbunge.