Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kwa miaka miwili Waislamu wameshindwa kwenda Kuhiji kwa kuwa walioruhusiwa ni wanaotoka kwenye nchi zinazofuata taratibu zote za kudhibiti maambukizi
Amesema baadhi ya Wafanyabiashara na wenye ndugu nje ya nchi wamekuwa wakipata changamoto ya kuwatembelea kwa kuwa nchi zinataka watu waliochanjwa
Waziri Mkuu amesema kwasababu hiyo nchi imeleta chanjo ili kila mwenye uhitaji aweze kuchoma na apate huduma nje ya nchi ikiwemo Kuhiji
Bofya kutazama akitangaza hill.