Taarifa tulizozipokea hivi punde ni kuwa.
Ofisi za Kituo kikubwa cha kupokea na kusambaza umeme katika wilaya za mkoa wa Morogoro na mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Kilimanjaro zimeteketea kwa moto Msamvu, Morogoro muda huu.
Kufuatia ajali ya moto katika jengo la kituo cha kupoozea na kusambaza umeme cha Msamvu kumesababisha mji mzima wa Morogoro kukosa Nishati ya hiyo.
Taarifa zaidi tutakulea hivi punde....