🔻UZI-JE!WAJUA COMPUTER IPI NI BORA KULIKO YENYE PROCESSOR Core i7au core i3 au Core i5.

0


◾️Jibu linaweza kuwa ni ndiyo lakini inategemea na aina ya i7, i3 au i5 unayoilinganisha


◾️Tuangalie kwa ufupi jinsi haya mambo yanavyo changanya watu .


●◾️Tuchukulie hizi processors mbili 


Core i7 8500Y na Core i3 8100H, hapa i3 ni more powerful kuliko i7 na ina more powerful integrated graphics kuliko i7


Ngoja nielezee hizi processors zinavyokua


◾️Katika kuchagua processors usiangalie herufi na namba tu mfano i3, i5, i7 au i9.◾️Intel processor inaundwa na vitu vifuatavyo 


Mfano: Intel core i7 - 10310 Y 


Intel core  -- Brand name 

i7 ---- Brand modifier 

10 ---  Generation indicator 

310 --- SKU numeric digits 

Y  --- Product line suffix 


Kitu cha muhimu kuangalia katika kuchagua processor.


Angalia "Generation indicator" na "Product line suffix"


Kwenye mfano wetu wa Core i3 8100H na Core i7 8500Y, generation indicator ni 8 which means zote ni Intel's 8th generation of processors 


Tuangalie Product Line Suffix kati ya hizo processors, line suffix zinaweza kuwa.


Herufi mbili au herufi na namba 


Zifuatazo ni common suffix za Intel laptop processors


H --- High performance graphics


HK --- High performance graphics, unlocked


HQ --- High performance graphics, Quad core


U --- Ultra Low power 


Y --- Extremely low power 


Pia kuna X-series.


●H series maana yake processor ina high performance graphics, sometimes wanatumia H ku-indicate processor inatumia more power 


HQ inaonyesha processor ina Quad core ila baadhi ya Quad core hazina Q suffix, hapa Intel wenyewe wanajua 


Ukiangalia Y series means.


●Processor ina-run kwenye extremely low power, hizi ni power efficient dual cores zinatumia 5W of power, ina run very cold na inasave battery life, kwa sasa kuna 10th generation ya Y series, na series zingine 


U series ni ultra low power, inarun kwenye 15W, Ni kubwa kidogo


●Kuliko Y series lakini bado ni fairly power efficient 


i3 8100H hii ni kubwa kidogo ina run kwenye 45W na inatumika kwenye powerful and thicker laptops 


HK series processors zinapatikana kwenye workstation laptops au gaming laptops 


Imeandaliwa na Cylas wa kwanza

Hopefully imesaidia 🙏

         ●MWISHO●
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top