Jinsi ya Kutengeneza MFUMO wa Kuuza Kwenye WhatsApp Yako Bila Kuchati na Mteja

0


 Jinsi ya Kutengeneza MFUMO wa Kuuza Kwenye WhatsApp Yako Bila Kuchati na Mteja—(Simple Automated Sales Funnel)


...Kama Umekuwa ukitafuta njia rahisi ya kuuza kwenye WhatsApp yako bila kupoteza Muda wako kuchati na wateja wengi basi soma mpaka Mwisho

⚫Moja ya changamoto Kubwa ya kuuza kirahisi mtandaoni ni kupata kitu kinachoitwa— OYA ⁩ etc“Automated Conversion Mechanism”


...Yaani mfumo unaomtoa mteja kutoka social media’s (Fb, Instagram, Twitter, Youtube nk) na kumfanya aingie mfukoni atoe hela kisha anunue👇🏻


⚫Kile unachokiuza bila wewe kuhusika moja kwa moja kwenye mchakato mzima wa kuuza

.

...Hicho kitu kinaitwa—FUNNEL (Automated)


Na biashara nyingi mtandaoni tatizo halipo kwenye Bidhaa/huduma zao tatizo lipo kwenye Funnel 

...Hii funnel unatengeneza mwenyewe👇🏻

⚫Baada ya kupata kitu kinachoitwa—Proof Of Concept 

Ni matokeo ya Majaribio yako binafsi au tunasema Iteration to Validation 

Zipo Funnel nyingi ila Leo nakupa moja Hii ya Kutumia WhatsApp yako kama Conversion Mechanism (Kifaa cha kuuzia)


⚫Fuata Hatua hizi Hapa ili Kutengeneza MFUMO (Funnel) Wako utakaokuuzia bidhaa/huduma Kupitia WhatsApp bila Uwepo wako (Automated System)

.

1). Chagua Chanzo chako cha Traffic mtandaoni kulingana na aina yako ya biashara 

.

Wateja wako wengi zaidi wanatoka👇🏻

⚫Katika Platforms zipi?—Facebook, Twitter, Instagram, YouTube etc
.
Na Hapa haijalishi ni Organic Traffic au Paid Traffic Ila tu lazima ujue chanzo chako kikuu ni platforms zipi
.
2). Tengeneza Simple Video kwa kuweka vitu Vifuatavyo ndani yake...
.
👇🏻

➡wewe ni Nani (Who are you?)

Waambie kwenye video wewe ni Nani kwasababu ni ngumu sana mteja kununua kitu kama hakujui 

Ndio maana ni rahisi kuuza kwa wateja wanaokutafuta wao sio wale unakwatafuta wewe 

...wanaokutafuta wanakujua unaowatafuta hawakujui👇🏻


⚫Unatatua changamoto gani au Kile unachokiuza kinatatua changamoto gani 

Wateja hawanunui Bidhaa/huduma wananunua kile kinachofanywa n bidhaa/huduma kwao

...Hapa pia unafanya Positioning ili wakuone wewe ni Expert na Sio Muuzaji Kama wengine 👇🏻


➡Waambie kwanini unafanya unachokifanya kwa kutumia STORY Fupi 

... Watu hawanunui kitu kwasababu unakifanya, wananunua Kitu kwasababu ya KWANINI (Why) unakifanya

Kwa kutumia story pia hawataona kama unawauzia bali unawasaidia Kununua 👇🏻


⚫Pia wata-Lower their guards about being sold 

Watu hununua kutokana na hisia na story inagusa hisia moja kwa moja (Story sells, Fact tells)

..na aina ya story unayotakiwa kuisema Hapa ni Aidha iwe ni Value story au Founder story (Uzi wa siku nyingine huu)👇🏻

✒Baada ya hapo unaahidi Kuwasaidia kutatua changamoto yao kwa kuwasaidia kweli (Promise to help them by Actually helping them—Hii inaitwa Intent based branding)
.
Kwanini ufanye hivyo?...
.
Ili wakupende
.
Wakuamini na wawe tayari Kununua unachokiuza kabla 👇🏻

⚫Hata ya kukiuza
.
Pia wakuone wewe ni expert kwa kuahidi kuwasaidia kwa kuwasaidia kweli 
.
..Kama unauza nguo, viatu, etc Hapa usiwe Muuza nguo Kuwa Fashion Consultant and Expert 
.
Kama unauza Knowledge Mfano ebooks, Courses, Coaching, Consulting etc 👇🏻

💠Hapa unakuwa—Specialist na sio Generalist 
.
—Toa VALUE kabla ya Kuuza chochote juu ya Jinsi Kile unachokiuza kitakavyosolve tatizo lake BURE Hii inaitwa—Reciprocity 

Kumbuka mpaka Hapa hujasema chochote kuhusu Kile unachokiuza bali unafanya positioning tu👇🏻

⚫Kutoa Value FREE lengo ni kujenga Trust na kufanya kitu kinachoitwa—Pre-framing & Indoctrination 
.
—Toa OFA ya Kile unachokiuza kwa kuzingatia FOMO (Fear of missing Out) yaani Hofu ya Kukosa 
.
—Weka Call to Action ya Jinsi ya kupata Kile unachokiuza 👇🏻
➡Mfano namba ya Malipo nk
.
—Watoe wasi wasi na Hofu ya kufanya makosa wateja wako kwa kuweka shuhuda za wateja  wa nyuma waliofaidika na bidhaa/huduma yako


⚫Baada ya tayari umeshatengeneza Video yenye contents hizo hapo juu—Fungua YouTube channel ni FREE
.
...Kisha nenda kupakie hiyo video kwenye channel yako halafu Copy link yake
.
Nenda kapest kwenye WhatsApp yako sehemu iloandikwa—“Send Away Message”👇🏻.

⚫Baada ya Hapo Tengeneza Tangazo lako la kusponsor Facebook na Instagram kisha Tuma leads zote kwenda kwenye WhatsApp yako
.
Kwasababu tayari umeshaseti Kwenye WhatsApp yako mtu Yeyote anaeona Tangazo na Kuja WhatsApp inbox anakaribishwa na Link👇🏻

⚫Ya kwenda kwenye ile video moja kwa moja ambapo huko atauziwa bidhaa/huduma yako na ile video uloitengeneza bila uwepo wako 
.
...na hiyo ndio inaitwa—Simple WhatsApp automated sales funnel 
.
Kwahiyo kazi yako itabaki kurun Matangazo tu na 👇🏻.

➡Kutuma leads kwenye WhatsApp yako kisha mteja anakaribishwa na Link ya kwenda YouTube kucheki video ambapo huko umeshaweka kila kitu
.
...utabaki kuangalia salio tu na kutuma bidhaa/huduma kwa wanaonunua baada ya kuangalia video yako—Booom! 👇🏻

 ✒Funnel zingine kaaa hapa hapa STREET UNIVERSITY  mafannel yapo mengi sana😀😀😀 au 
join our group WhatsApp 
           <<<STREET UNIVERSITY>>>>

.
...Hii nimeijaribisha mwezi wa 2 it converts like Crazy!

imeandaliwa NA Cyals wa Kwanza  0626594927

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top