MSHAMBULIAJI ALIYEJIHAMI KWA SILAHA AUAWA DAR,ASKARI WAWILI WADAIWA KUFARIKI

0

  Mtu mmoja ambaye hajafahamika Nina lake anayehisiwa ni msomali amezua taharuki maeneo ya Daraja la Salenda, Dar es Salaam, baada ya kufyatua hewani risasi huku akisikika kuwa anawatafuta polisi.

Mshambuliaji kabla kifo.

Tukio hilo limetokea leo Jumatano Agosti 25, 2021 liliwafanya wananchi waliokuwa jirani na eneo hilo wakiwemo waliokuwa kwenye magari kukimbia kujaribu kuokoa maisha yao.

Katika taarifa kutoka eneo la tukio imeelezwa kuwaAskari wawili wauawa katika ubalozi was ufaransa.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro amethibitisha kutokea kwa mauaji ya askari wawili jirani na Ubalozi wa Ufaransa jijini Dar es Salam yaliyofanyika na mtu mmoja ambaye inasemekana ni Msomali ambaye pia amefariki baada ya kutekeleza mauaji hayo.

Endelea kutembelea mtandao huu! Tutakuletea taarifa kamili.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top