SERIKALI YAPIGA MARUFUKU WACHAWI KUPAA ANGANI

0

 


Serikali ya Swaziland imepiga marufuku wachawi kuruka zaidi ya umbali wa mita 150. 

Imeeleza kuwa "atakaye kiuka amri hii iliyotolewa na mamlaka ya anga, atapigwa faini ya randi R500,000 (35,487) sawa na zaidi ya milioni 80 za Kitanzania"

Mara nyingi wachawi wa Swaziland wanadaiwa wamekua wakiruka Usawa wa Helcopter kitu ambacho kinachanganya Mamlaka ya anga.

Kufuatia kitendo hiki wachawi wamekilalamikia wakisema kwamba ni uonevu. wanahoji kwanini iwe sasa? Je walishawahi gonga Boeing?

Soma hii ADAIWA KUTUPA KICHANGA KWENYE DAMPO MKOANI MBEYA

Wakati huo huo Waganga wa kienyeji wa Romania wameangukiwa na rungu la kulipa kodi kubwa ili kuchangia bajeti ya Serikali kitendo ambacho Mkuu wa Sangoma hao amelalamikia kwamba ni Uonevu na kuahidi kuiroga Serikali isahau kuwalipisha Kodi hata ikikumbuka imesahau yeye tu. 

Baadhi ya Wachawi wameshukuru kitendo cha kulipishwa kodi kwani wanaamini sasa kazi yao imetambulika rasmi.#idawaupdates #MBEYA #swizalandreggae 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

JIUNGE NA IDAWA MEDIA SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Telegram na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka IDAWA TV Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube & Jiunge WhatsApp 

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top