SIMULIZI AMBAYO ITAKUSISIMUA SANA, MKE MWENZA,.

0

Mwanaume mmoja alioa wanawake wawili, mke wa kwanza ni mgumba , wakati mke wa pili anawatoto wakike wazuri sita,.


Mke wa kwanza alikuwa mpenda utani sana, kutokana na hali yake hiyo  aliyonayo kwa kumuuliza maswali mke wa pili, hebu jiangalie wewe mwanamke  MGUMBA, siku moja utakusanya kile kilichochako na uondoke, Mungu wako amekukumbuka, nenda kwa Mungu maskini wewe..,.Baada ya miaka mingi bila mtoto, mwenyezi Mungu alikuja kumjibu mwanamke yule na kumpa mtoto wa kiume, mume wake alifurahi sana maana familia yake imepata baraka ya mtoto wa kiume.


Lakini mke wa pili, alikuja kupata WIVU" mume wangu anamjali sana huyo huyu mtoto ee sasa ntamuuwa, akaenda kwa mganga na akapewa nyoka wa kubwa wawili,. Ukifika nyumbani waamuru nyoka hawa wamnyonge  mtoto huyo mpaka kifo, ila hakikisha kijana huyo yupo pekeyake, aliambiwa na mganga.


Mwanamke yule aliondoka usiku na kufika nyumbani, na kumwona kijana amelala pekee yake, alianza kufungua mlango polepole na kuwaamuru nyoka wale wakamnyonge kijana yule 🐍,.


Yeye akatoka na kwenda kijiji cha pili kilichopo karibu,


Nyoka wale walitambaa mpaka alipo kijana, lakini mara walipokaribia, waliona malaika wawili wakiwa na upanga wa moto, basi nyoka wale walitambaa nje na kwenda moja kwa moja hadi chumba cha mabinti wa mke wa pili,. 


Asubuhi iliyofuata, alirudi na kumwona mke wa kwanza akilia na watu wakilia nje, akajiambia, " huyu kijana si bure lazima awe amekufa"


Alifika na kumuuliza mke wa kwanza, kuna nini, nini kimetokea, Mke wa kwanza akajibu, nyoka wakubwa watatu walikutwa na wamewanyonga mabinti zako wote 5 mpaka kufa, binti yako mkubwa yupo hospitalini  🐍 mwanangu alimwokoa!!


Mwanamke wa pili akaanza kulia, na kusema hayo yote nimesababisha mimi, mimi ndiye niliyewatuma nyoka wale lakini nini kimetokea sasa, LAZIMA NI MUNGU WAKO,.


Ndg sikiliza sala hii!!, Wahalifu wote katika familia yako watapambana na ghadhabu ya Mungu!!, Nyoka wote wabaya waliotumwa maishani mwako watarudishwa kwa mtumiaji katika jina kuu,..


Tafadhali andika" amen kubwa sana".


Tafadhali shiriki post hii angalau kwenye vikundi 5 vya facebook na kalenda yako binafsi ya matukio ili marafiki zako waweze kusoma,.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top