●Kwa ndugu zangu wa Android phones "MSIWEKE ANTI VIRUS " kwenye simu zenu badala yake mtakuwa mnakaribisha pop up notification ambzo zitakuwa zinakula MB zenu na kupunguza nguvu ya ufanyaji kazi wa smu na battery 🔋 pia.. Hakuna kitu kibaya kama kuweka anti virus👇
●Simu inakuwa nzito kwasbbu ya pop up ads ambazo zitafanya simu ndio iwe rahisi kuwa attacked na pia msiweke apps ambazo zinawaambia eti zina boost RAM ya smu .. hzo app kama hamjui huwa ndo zinafanya simu hata kama huitumii iwe inazalisha caches ina background app kuweni makini.