Mbunge wa viti maalum mkoani Ruvuma Jackline Ngojani amewataka wanawake mkoa wa songwe wasiwape huduma waume kama wanamkono sweta.
'wanaume watupe sababu za kina kwanini mpaka sasa hivi hawaanza kufanya tohara,na wanafahamu kutokufanyatohara ni kuendelea kuenza UKIMWI lakini pia ni kuhatarisha makundi ya wanawake kupata tatizo la saratani ya shingo la kizazi,lakini pia nitoe wito kwa wanawake wenzangu,na mimi ni miongoni mwa vinara wa mkono sweta,Wanawake wenzangu nataka niwaambieni kama mnavyofahamu hasa nyie mnaojua haya mambo wakati huo mnaendelea kuelimisha jamii suala la mkono sweta endapo umeenda mahali popote pale mmekubaliana na mwenza wako mkaenda eneo la Tukio ukibaini anamkono sweta achana naye usitoe huduma yoyote ile' Amesema mbunge Jackline.
TAZAMA VIDEO HII BOFYA KUTAZAMA ALICHOSEMA MBUNGE JACKLINE