KUJAMIIANA KINYUME CHA MAUMBILE JELA MAISHA.

0

Bila shaka neno mapenzi ya Jinsia Moja sio geni miongoni mwetu,sasa muhimu uweze kufahamu sharia ya Tanzania inasemaje kuhusu hili.

Hii ni kwa msaada Wa Jungu LA Sheria Instagram ambapo unaweza kuwafuatilia kujua kwa undani zaidi lakini wacha soma hii!


KIFUNGU CHA 154 CHA KANUNI YA ADHABU SURA YA 16.

Mtu yeyote ambaye-


(a) anamuingilia mtu yeyote kinyume cha maumbile au,

 

(b) anamuingilia mnyama kimwili au


(c) anamruhusu mwanaume kumuingilia yeye mwanaume au mwanamke kinyume cha maumbile, atakuwa ametenda kosa, na atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha maisha na wakati mwingine kifungo kisichopungua miaka thelathini.


Ikiwa kosa limetendwa dhidi ya mtoto wa chini ya miaka kumi, mkosaji atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha maisha.Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top