KANUNI YA ADHABU SURA YA 16 KIFUNGU CHA 152.

Mtu yeyote ambaye anatoa au anampa mtu yeyote kitu chochote, akijua kwamba kinakusudiwa kutumika kinyume cha sheria kumfanya mwanamke aharibu mimba, iwe mwanamke huyo ana mtoto au hana, mtu 

huyo atakuwa ametenda kosa na atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha miaka mitatu