Usiku Wa octoba 21/2021 shirikisho LA soka nchini Tanzania TFF limetoa tuzo kwa ligi ya wanawake,ligi ya ASFC na ligi kuu bara VPL kwa mwaka 2020/2021.
✔Kocha Bora-Didier Gomes (Simba)
✔Golikipa Bora-Aishi Manula (Simba)
✔Beki Bora-Mohammed Hussein (Simba)
✔Kiungo bora-Clatous Chama (Simba)
✔Mwamuzi bora wa Kati-Ramadhan Kayoko (Dar es salaam)
✔Mwamuzi msaidizi-Frank Komba (Dar es Salaam)
✔Timu yenye nidhamu-Coastal Union
✔Tuzo ya Fair play-Kibwana Shomari (Yanga)
✔Mfungaji bora kwa wanaume-John Bocco (Simba)
✔Mchezaji Bora chipukizi-Abdul Suleiman Sopu(Coastal Union)
✔Mchezaji bora kombe la shirikisho Azam sports federation cup-Feisal Salum (Yanga)✔Mchezaji bora-John Bocco (Simba)
✔Mhamasishaji bora-Nick Renold(Bongo zozo)
✔Golikipa bora michuano ya Azam sports federation Cup -Aishi Manula (Simba)
✔Mfungaji bora michuano ya Azam sports federation Cup-Reliant Lusajo(Namungo)
✔Tuzo ya TFF 2021 Mchezaji Gwiji Abdallah Kibaden
✔Tuzo ya Rais wa Tff imeenda kwa Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania-Kassim Majaliwa
✔Mabingwa wa ligi kuu 2020-2021- Simba wamepewa Milioni 100
✔Goli bora la Mwaka-Lambert Sabiyanka - Tz Prison (Tz Prison vs Mwadui)