KARIBU WONDER KIDS-Pre & Primary School.
Shule ya WONDER KIDS inawatangazia wazazi na walezi nafasi za masomo kwa mwaka wa Masomo 2022 kwa wanafunzi wa Awali na Elimu ya Msingi,Kwa wanafunzi wapya/wanaohitaji kujiunga au kuhamia kutoka shule nyingine.
WONDER KIDS;Tuna mazingira mazuri kwa Mwanao kutimiza ndoto zake za kielimu,ikiwemo vyumba vya kutosha vya madarasa,Viwanja vya michezo ili kuendelea kukuza vipaji vyao,Walimu wakutosha kuhakikisha mwanao anatimiza ndoto za Kielimu,Usafiri ni uhakika kwa wanafunzi wa Kutwa!.
WONDER KIDS;Tumekuwa na matokeo mazuri kwa wahitimu wa Darasa la Saba Mfano mwaka 2021.
- Kiwilaya imekuwa nafasi 1 kati ya shule 59
- Kimkoa imekuwa nafasi 1 kati ya shule 272
- Kitaifa imekuwa nafasi 56 kati ya Shule 5664.
JE! BADO UNA MASHAKA NASI,TUAMINI LEO KWA KUMLETA MTOTO WAKO KWETU.
WONDER KIDS;unaweza kuwasiliana nasi moja kwa moja kwa nambari
0716 483 532.
0784 434 751
0779 729 307.
Email.wonderk2017@gmail.com
WONDER KIDS;Tupo Ruangwa mjini mkoani Lindi karibu na Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Ruangwa.
WONDER KIDS; Tunasema 'TAALUMA BORA,HUDUMA ZA WATOTO NA MALEZI BORA'.
Nyote mnakaribishwa!.Tazama Baadhi ya Picha.
Baadhi ya wanafunzi wa WONDER KIDS walipotembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma. |
Wanafunzi wa WONDER KIDS wakiwa nje ya Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma katika Picha ya Pamoja |
Baadhi ya wanafunzi wakiwa katika Picha ya kukata Keki katika moja ya sherehe iliyofanyika Shuleni Hapa |
Uwanja wa Mpira wa WONDER KIDS pamoja na Majengo kwa mbali yakionekana kwa Uzuri kabisa |
Picha ya Baadhi ya Wanafunzi na walimu |
Moja ya Wanafunzi wa Darasa Moja wakiwa katika Masomo Darasani na Mwalimu akifuatilia kwa ukaribu |
Unaweza kufuatilia Mengi na Picha za Matukio Mbalimbali kupitia Ukurasa wetu wa Instagram wa www.instagram.com/wonderkids