
- Piga *150*01#
- Chagua namba 4(kulipa bili)
- Chagua namba 3(Ingiza namba ya kampuni)
- Ingiza namba ya kampuni 222777
- Ingiza namba yako ya simu(Namba yako ya kumbukumbu)
- Ingiza kiasi
- Ingiza namba yako ya siri
- Thibitisha muamala wako
- Muamala wako utakuwa umekamilika kama bado wasiliana na huduma kwa wateja
JINSI YA KUWEKA HELA KWA NJIA YA TOVUTI KWA TIGOPESA
- Ingia kwenye tovuti yetu betx.co.tz
- Nenda kwenye kona juu upande wako wa kulia
- Bonyeza kwenye ingia
- Ingiza namba yako ya simu bila kuanza na sifuri mfano 713123456
- Ingiza PIN au nywila
- Bonyeza kialama cha mtu upande wako wa kulia juu
- Chagua kuweka pesa
- Bonyeza alama ya tigopesa
- Ingiza kiasi kuanzia 1,000 mpaka kiwango cha mwisho ambacho ni 300,000
- Utapokea ujumbe kutoka tigopesa uingize namba yako ya siri
- Ingiza namba yako ya siri
- Utapokea ujumbe kutoka tigo wa muamala wako
- Akaunti yako ya Betx itakuwa tayari na pesa kama kuna tatizo utawasiliana na huduma kwa wateja
JINSI YA KUTOA PESA KWENYE MTANDAO KWA TIGOPESA
- Nenda kwenye tovuti ya website betx.co.tz
- Nenda kwenye kona ya juu kulia
- Bonyeza kitufe cha ingia kwenye “INGIA”
- Ingiza namba zako 9 za namba yako ya simu mfano. 714123456
- Ingiza neno la siri/PIN
- Bonyeza alama ya mtu juu upande wako wa kulia kwenye kona
- Chagua kutoa pesa
- Bonyeza nembo ya Tigopesa
- Ingiza kiasi cha chini 1,000 mpaka cha juu 300,000
- Utapokea ujumbe kutoka tigo kuingiza namba yako ya siri ya Tigopesa
- Ingiza namba yako ya siri ya Tigopesa/TIGOPESA PIN
- Utapokea meseji kutoka Vodacom ya muamala wako
- Akaunti yako ya betx itakuwa imeweka pesa kwenye namba yako kama bado huduma kwa wateja ipo kusaidia