Aliyekuwa mwanahabari wa runinga K24 Naomi Njenga alifariki dunia Jumamosi Novemba 13 saa chache baada ya kujifungua mtoto wa kiume.
Inaarifiwa Naomi alijifungua mtoto huyo Ijumaa jioni kisha akapata matatizo yaliyotokana na kujifungua.
SOMA HII: Mke atuhumiwa kuchoma nyumba baada ya kutengana na mkewe!
Taarifa kutoka katika mtandao Wa TUKO.co.ke kuwa mtoto aliyejifungua wa kiume yuko salama na buheri wa afya.
SOMA HII; Kijana auawa kwa kuchepuka na mpenzi Wa jirani yake