IFAHAMU KAMPUNI BORA YA KUBASHIRI MTANDAONI TANZANIA-WINPRINCESS

0

 Habari njema kwa wadau wa Soka,Kama tunavofahamu Ligi kubwa Duniani zimerejea sasa.

EPL ya Uingereaza, SerieA Ya Italia , Laliga Hispania, Bundesliga ya Ujerumani, Ligue1 ya Ufaransa na nyingine nyingi sasa wameanza kukipiga dimbani.

Kama mdau wa soka,kuna mchongo wa kuburudika na mtanange huku ukiburudika na ushindi wa pesa kutoka WinPrincess kwa kubeti mtandaoni Kupitia Tovuti yao ya www.winprincess.co.tz/en/ n   pia unaweza kupakua APP yao kupitia https://www.winprincess.co.tz/mobile-app/ utachagua Android au IOS ili upate huduma kwa urahisi Zaidi.

WinPrincess kupitia www.winprincess.co.tz/en/  Utapata Sports Zaidi ya 20 kama vile Soka,Mpira wa kikapu /Basketball, Tenis, Rugby, na mingine mingi, na kubwa Zaidi utapata mamia ya michezo ya Kasino mtandaoni, hii ni Kasino na Live Kasino. Pia utapata Virtual Games/Bunifu.

Jinsi ya Kujisajili na WinPrincess:

Bofya neno Jisajili/Register,weka namba yako ya simu bila kuanza na 0 au 255 kisha weka neno lako la siri,Marketing code/Msimbo wa Uuzaji acha wazi, Kubaliana na vigezo na masharti kisha bofya Jisajili/Register utakua umekamilisha Usajili wako.


Kwanini Tunasema WinPrincess ni kampuni bora Zaidi kwenye ubashiri mtandaoni?

(Sports betting na Online Casino)

Kwanza kabisa kwa Sports betting utapata masoko Zaidi ya 1500 ya kubashiri hivo kujiongezea nafasi kubwa ya ushindi na Pia Kuna Pre-match na Live match,Mamia ya michezo ya Kasino,na  kucheza ni rahisi sana na malipo ni chap chap!

Kwanza kabisa kwa dau la kuanzia Tsh 1 Tu unabet na unaweza pata Ushindi wako hadi Tsh Milioni 40,Na kwa kasino kwa dau la kuanzia 200 tu unaweza shinda hadi x20,000 ya dau lako na kwa Virtual Games/ bunifu huku utakuta michezo pendwa kama Spin To Win, kwa dau la kuanzia Tsh1 unaweza jishindia hadi x36 ya dau lako.

Kubwa kuliko, Wana Jackpot mbili, ya kwanza kabisa ni Princess Mega Jackpot ya Tsh Million 50 ya mechi 15 kwa dau la Tsh 1000 Tu, Jackpot hii ni ya kipekee kwasababu inamechi kubwa za Ligi kubwa kama EPL, Laliga, Serie Ana nyingine alafu jackpot Progressive/Endelevu/Inakua, Pia Jackpot ya pili ni Princess 12 Jackpot ya Tsh Million 12 ya mechi 12 kwa dau la Tsh200 Tu.

 Pia unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako ya WinPrincess Kuanzia Tsh100 kupitia Tigo Pesa, M-Pesa, AirtelMoney, HaloPesa,EzyPesa na Selcom kwa kupitia Kampuni namba ya 077077, hivo ni kampuni yenye chaguzi tofauti kwa kila mtu kutokana na uwezo au mapenzi yake kwenye ubashiri.

Tovuti ya www.winprincess.co.tz/en/  ni rahisi kufunguka, ni Rafiki kwenye matumizi na pia kwa wadau wa WinPrincess, unabashiri na kucheza kasino huku ukipewa Bonasi kutokana na kukidhi  vigezo na masharti yaliotajwa kwenye promosheni https://www.winprincess.co.tz/en/promotions/


Kuwasiliana na Huduma kwa wateja masaa 24/7 namba ni 0746983800 pia wanapatikana kupitia Livechat muda wowote kupitia tovuti yao ya www.winprincess.co.tz/en/  au mitandao yao ya kijamii ya Facebook, Instagram na Twitter @Winpricess

#ChezaZaidiUshindeZaidi

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top