KUJAMIIANA KINYUME CHA MAUMBILE JELA MAISHA.

0

 KIFUNGU CHA 154 CHA KANUNI YA ADHABU SURA YA 16.

Mtu yeyote ambaye-


(a) anamuingilia mtu yeyote kinyume cha maumbile au,

 

(b) anamuingilia mnyama kimwili au


(c) anamruhusu mwanaume kumuingilia yeye mwanaume au mwanamke kinyume cha maumbile, atakuwa ametenda kosa, na atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha maisha na wakati mwingine kifungo kisichopungua miaka thelathini.


Ikiwa kosa limetendwa dhidi ya mtoto wa chini ya miaka kumi, mkosaji atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha maisha.


IMEANDIKWA NA;


Mwanasheria

Johnson Yesaya Mgelwa (@yesayajm_ )

Wa Jungu la sheria Tanzania.

0758218269/0628729934.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top