Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) , Januari 15, 2022 limetangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa kidato cha Nne, mitihani iliyofanyika Novemba 2021.
NECTA pia imetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne, mtihani wa maarifa, kidato cha pili na darasa la nne.
SOMA HII; Matokeo kidato cha pili 2022
Bonyeza kila kiungio hapa chini kuona matokeo husika;