NIMEONA BWANA~Anjelika Sanga (Official Video)

0

 Bwana Yesu asifiwe popote pale ulipo ni matumaini yangu Mungu ni mwema kwako umepokea ujumbe huu wa kumtukuza yeye,nakukaribisha tena usikilize wimbo wangu huu wa NIMEMUONA BWANA,ni imani yangu kuwa kuna mambo mengi Mungu amekutendea mema mengi katika maisha yako tumia nafasi hii kumtukuza nami.

Mwite Bwana leo kwamba nakushukuru kwa neema hii ya afya na pumzi uliyonipa ni wangapi walitamani leo kupata ujumbe huu lakini hatunao tena? basi ungana nami kumshukuru Mungu mimi ni Mchungaji wako Anjelika Sanga anakukaribisha sana.Na Mungu akubariki.

Nakuomba ukisikiliza unaweza ku SUBSCRIBE Chanel yangu ya Youtube kisha uwe unapokea nyimbo zangu kila ninapoziweka na sasa Tazama wimbo huu wa Video bure kabisa.

TAZAMA HAPATags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

 
#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top