Maisha ya Mwanadamu yanategemea Mwenyezi Mungu kwa pumzi anayotupatiaa kwa wale wanaoamini katika uwezo wake,hii leo nimekuleta nyimbo hii ya KING'OLA kutoka kwa mwimbaji wa Nyimbo za Injili Mch.Anjelika sanga.
Katika Wimbo huu Mwimbaji Mch.Sanga anasikika akisema pisha shetani nakwenda na Yesu,Usinicheleweshe! Nakuomba nawe sikiliza wimbo huu utabarikiwa chakufanya bofya Subscribe kisha download wimbo huu usikilize muda wowote bila malipo.
Utabarikiwa ukimsaidia kushara link ya wimbo huu kwa wenzako na Mungu atakubariki!
TAZAMA VIDEO HII