Video mpya ya Alikiba ‘Utu’ meneja wake afunguka, agusia suala La Harmonize

0

 

Ni January 28, 2022 ambapo mkali kutokea Bongo Flevani, Alikiba ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao Utu.

Sasa hapa tunae Meneja wake aitwae Aidan ambae ameeleza yale tusiyoyafahamu likiwemo na suala la Harmonize kumtaka Alikiba kuimba Usiku wa Engagement.

TAZAMA HAPA MAHOJIANO


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 


 

 




#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top