Dkt. GWAJIMA AKUTANA NA WAATHIRIKA WA UKATILI WA KIJINSIA SHINYANGA

0

Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima, akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Jasinta Mboneko pamoja na Mkurugenzi Msaidizi kutoka Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mwajina Lipinga, wakisikiliza baadhi ya Waathirika wa matukio ya ukatili wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto

 waliojitokeza kufuatia wito wa Waziri huyo Aprili 23,2022 akizungumza na kituo cha Redio Faraja mkoani Shinyanga.

Waziri Dkt. Gwajima yupo mkoani Shinyanga kukagua shughuli mbalimbali za Wizara hiyo ikiwepo kuona juhudi za vita dhidi ya ukatili wa kijinsia hususani afua zinazotumika kukabiliana vitendo hivyo.

Mpango huu wa kusikiliza kero sugu za jamii dhidi ya ukatili wa kijinsia na ukatili wa watoto utaendelea katika ziara zake zote nchini.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)
Youtube Channel Image
Henrick Idawa Subscribe To watch How to Earn Money

 

 
#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top