Mtu mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Ramadhan mkazi wa Tanga amekutwa katika eneo la Kanisa la Kiinjili la Kilutheli (KKKT) Usharika wa Makuyuni lililopo mji mdogo wa Himo mkoani Kilimanjaro bila ya kuwa na nguo (mtupu).
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo wameeleza kuwa mwanaume huyo anayekadiliwa kuwa na umri kati ya miaka 45 na 50 alionekana kuzunguka eneo la kanisa huku akidai alitokea maeneo ya Kilema.
TAZAMA VIDEO KUHUSU MWANAUME KUKUTWA UTUPU KANISANI.