BABA ASHIKILIWA KWA MADAI YA KUFANYA UKATILI WA KINGONO KWA WATOTO WAKE

0

Bashiru Abdallah, Mkazi wa Buswelu, Mwanza anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kuwafanyia Ukatili wa Kingono Watoto wake wanne wa kike, ikidaiwa amewafanyia kwa miaka kadhaa 

Alikamatwa baada ya majirani kutoa taarifa kuwa mtuhumiwa amejifungia chumbani na binti yake kwa muda mrefu. Uongozi wa Serikali za Mtaa ulifika na kutishia kuvunja mlango ndipo akajisalimisha

Binti wa kwanza wa Bashiru anasema "Baba ameniingilia kimwili mbele na nyuma tangu nikiwa na miaka nane hadi sasa nipo Kidato cha Kwanza. Alikuwa akinitishia kwa panga nisiseme, pia alianza kuwaingilia wadogo zangu ambao wapo Darasa la Sita, la Nne na la Tatu"

Watoto hao wamehifadhiwa katika Taasisi ya NITETEE. Jeshi la Polisi limesema upelelezi ukikamilika mtuhumiwa atafikishwa Mahakamani

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)
Youtube Channel Image
Henrick Idawa Subscribe To watch How to Earn Money

 

 




#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top