FAHAMU SABABU ZA UKE KUWA MKAVU NA JIFUNZE TIBA YAKE

0

Ikimbukwe ni salama kwa uke kuwa mkavu katika mazingira yasiyo ya kujamiiana. Pia sio kiafya kwa uke kuwa mkavu wakati wa kujamiana na pia wakati mwingine huwa ni tatizo la kiafya.

♧Maandalizi yasiyotosheleza kabla ya kujamiana husababisha uke kuwa mkavu maana mwanamke anakuwa hayuko tayari kiakili kufanya tendo la kujamiiana.

Tatizo la mvurugiko wa vichocheo mwilini yaani Hormone imbalance. Fahamu kwamba katika sehemu za siri za Mwanamke kuna Tezi ambalo hufanya kazi ya kuzalisha maji maji,uteute na kuleta hali ya unyevu na ulaini ukeni,kwani sehemu za siri za mwanamke katika hali ya kawaida hazitakiwi kuwa kavu. 
  • ♧Kukauka kwa uke katika umri wa 45+ huwa ni kiashiria cha ukomo wa hedhi kwa mwanamke. Lakini kama uke unakauka chini ya miaka 45 huwa ni tatizo la Afya ambalo huweza kuchangiwa na fangasi katika uke na kutokukaa sawa kwa homoni (hormonal imbalance) kwa mwanamke. Inashauriwa Mwanamke amuone Dactari kama ana tatizo hili ili apate ushauri zaidi, pia matumizi ya vilainishi kama K-Y jelly wakati wa kushiriki tendo la ndoa yameonyesha kusaidia katika hili tatizo.
  • ♧Kutokuwa na hisia wakati wa tendo la ndoa pia kutokuwa na mapenzi na mwanaume unayeshiriki nayetendo la ndoa. Yote husababisha uke kuwa mkavu
Matibabu ya shida ya uke mkavu hutegemea sana na chanzo chake; Mfano kama chanzo ni maambukizi ya magonjwa kama UTI,Mgonjwa atapewa dawa za kutibu UTI, kama chanzo ni shida ya vichocheo mwilini,basi mgonjwa atapewa dawa za kurekebisha vichocheo hivo.

Kama una tatizo la kuwa na ukavu ukeni, miwasho, vipele na michubuko au hupati hamu ya tendo la Ndoa Basi Wasiliana nasi kwa ushauri na matibabu kwa kutumia tiba mbadala (Virutubisho Lishe).

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

JIUNGE NA IDAWA MEDIA SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Telegram na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka IDAWA TV Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube & Jiunge WhatsApp 

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top