ITULAHUMBA SEKONDARI WATANGAZA NEEMA KWA KIDATO CHA TANO 2022/23.....

0

 Habari njema kutoka shule ya Sekondari Itulahumba iliyopo wilaya ya wanging'ombe mkoani Njombe Kijiji na kata ya Itulahumba Nje kidogo ya barabara kuu ya Njombe =Makambako,inapenda kuwatangazia wazazi na walezi uwepo wa nafasi za masomo kwa kidato cha tano 2022/2023.

Kutokana na hali ya Kiuchumi kwa watanzania wengi Itulahumba Mwaka huu watatoa FOMU za kujiunga na kidato cha Tano kwa Mchepuo/Tahasusi za CBG, KHL & HGK Bureee!.

Ili kujipatia Fomu hiyo bofya kitufe cha Download here kisha Karibu Ujiunge na Itulahumba Sekondary.

Kwa maelezo zaidi soma katika Fomu hiyo ikiwemo huduma bora zinazopatikana shuleni Itulahumba,wahi Ofa kabla haaijaishi ya kujiunga na Itulahumba Sekondari.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top